Overblog
Follow this blog Administration + Create my blog

8 posts with updated stories

[UPDATED STORIES] MAKOMANDO WAKIONESHA UMWANBA SIKU YA SHEREHE YA MUUNGANO (MIAKA 53)

Published on by Rocho Senior

Published on Updated Stories

Share this post

comments

[UPDATED STORIES] Mh Sugu na Mh Hussein Bashe wakizungumzia kutekwa kwa ROMA,Moni,Emma na Bin Laden

Published on by Rocho Senior

Published on Updated Stories

Share this post

comments

[UPDATED STORIES] ROMA asikitishwa na watu waliosema walikuwa wanatafuta kiki,aonesha vidonda

Published on by THE GUD MUZIK NATION

Published on Updated Stories

Share this post

comments

[UPDATED STORIES] ROMA afunguka kuhusu kutekwa

Published on by Rocho Senior

Published on Updated Stories

Share this post

comments

[UPDATED STORIES] Zilizotufikia hivi punde ROMA,Moni na Bin Laden wamepatikana

Published on by Rocho Senior

ZILIZOTUFIKIA - ROMA, MONI NA WENZAO WAPATIKANA WAKIWA HAI.....
Taarifa zilizotufikia zimedai kuwa Roma na watu wengine waliokuwa wameshikiliwa tangu Jumatano hii wamepatikana wakiwa salama.
Image result for MONI ROMA
Mkuu wa polisi (OCD) wilaya ya Kinondoni, Abubakar Kunga amethibitisha kupatikana kwa wote waliopotea. Lakini kwa sasa amesema wanafanya nao mahojiano ya kipolisi katika kituo cha Oysterbay lakini baada ya muda mfupi wataongea na waandishi ili kutoa taarifa kamili.
Kupatikana kwao kumefuatia wito mkubwa uliokuwa ukipaishwa na wasanii wenzake na mashabiki kuhusu kuachiliwa huru.
Awali, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam, Kamishina Simon Sirro alisema bado walikuwa wakiendelea na upelelezi wa tukio la kupotea (kutekwa) kwa msanii Roma Mkatoliki na wenzake.
Akiongea na waandishi wa habari mchana huu Polisi Central jijini Dar es salaam, Kamanda Sirro alisema tukio la utekwaji wa Roma na wenzake ni aina ya matukio ambayo hutokea mara kwa mara.
“Matukio ya utekaji hayajaanza leo, hili la kina Roma na wenzake ni tukio kama matukio mengine yaliyokuwa ya ujambazi kwahiyo tupeni muda tupeleleze, tukifika mahali pazuri tutawaita tuwape taarifa lakini nimeona mitandao mingi inazungumza, jana nikaona wasanii wamekutana lakini nikajiuliza hivi yangekuwa haya matukio yanatokea ya uhalifu yanapotokea watu wanakutana ingekuwaje?,” alisema Sirro.
Aliongeza, “Jamani kazi hii tumepewa kwa mujibu wa Katiba na ni lazima tutimize wajibu wetu kwa hiyo tupeni muda tutakuwa na majibu mazuri katika hili,” aliongeza.

SOURCE BONGO5

Posted by http://ngelangelanews.blogspot.com

Published on Updated Stories

Share this post

comments

[UPDATED STORY] Makonda aongelea kuhusu kupotea kwa ROMA

Published on by THE GUD MUZIK NATION

Published on Updated Stories

Share this post

comments

[UPDATED STORY] Stamina anachokumbuka mara ya mwisho kuwasiliana na Roma

Published on by THE GUD MUZIK NATION

Published on Updated Stories

Share this post

comments

[UPDATED STORY] Wasanii waungana kumtafuta Roma wakutana COCO Beach mkewe aangua kilio

Published on by THE GUD MUZIK NATION

Published on Updated Stories

Share this post

comments